
SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa 😂 Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa kiume ni shida tupu 😅 maana kuna muda unajikuta tu umempenda mwanafunzi wako Harafu sasa huyo mwanafunzi yeye anachotaka kutoka kwako ni maksi tu aisee 😂 bana bana mimi yalinitokea jamani Yalinitokea zaidi ya mara tatu nikatoa rushwa ya maksi 😅 hii siku sitaisahahu binti alinihaidi nikimwekea maksi kubwa kwenye mtihani wake atanipa penzi ambalo sijawahi kupewa maisha yangu yote Kwakuwa mimi nilikuwa mzee wa kupenda sana
0 Comments