
Whattsap; 0755090082 Mwandishi; lissa wa huru media Badi nakumbuka siku iyoo sasa, pamela.akanipigia simu, akanikumbusha harusi ya rafiki yetu mmoja, tulimzoea sana anaitwa glory inafanyika mtongani, ila ni ya usiku ni send off, so ata mm nilitoa mchango na sale nilishona ila ilikuw kwa pamela, so ilibaki kwenda tu, so iyo siku j mosi ndo akanikumbusha kuwa ile harudi ni leo shogaa, nikasema sawa kwakua jordan uwa j pjli haingii kazini, basi nitamuomba abaki na wanangu tu, basi mda wa saa10 jioni ndo jordan aliludi, akaingia ndani kwake naona alilala, mda wa saa 1 ndo akatoka ndani, apo harusi inaanza
0 Comments