
Mwandishi; lissa wa huru media Basi gari ni imetulia mnooo shiti inanukiaa kitajiri, uyo jordan mwenyewe ananukia mnooo, yani sanaaa tu, basi akatoa gari, alivyofika getini, akamwambia mlinzi oyaaa uwe unawachek madogo wamelala , yule mlinzi akasema sawa mkuu, kisha jordan akawasha ndingaaa, tukasepaa basi tukiw njiani nikamtumia sms shoga yangu pamela kuwa naenda aje na nguo yangu ukumbini mana sitafikia kwake ,pamela aknambia sawa ,basi akadrive kimya kimya mpaka mtongani, tumefika nikamuelekeza ukumbi ulipo, niakmwambia ni apa ,we nenda tu mi nitarudi shughuli ikiisha, akaniangalia akanmbia mi siondoki nakungoja apa, nikasema sawa wala sikutaka kjmjaji sanaa, nikamucha njee mie
0 Comments