
ANIPHA 6--7. Mtunzi.. Sehemu ya 6. Nilifika Arusha mida ya jioni sana nikaa pale stendi sasa, nikimsubiri mtu anaekuja kunipokea Baada ya muda kidogo alikuja mdada lakini kwa kumuangalia tu yeye ni mkubwa kwangu hivyo nilimsalimia na Baada ya hapo tukapanda kwenye gari aliyokuwa amekuja nayo huyo mdada. Safari iliishia kwenye Nyumba nzuri tu ina geti kali, bustani kwa nje na swimming pool nzuri, yani Nyumba ilikiwa nzuri kabisa kwa matumizi ya binadamu 😂😂😂🙌, si mnajua tena me mshamba jamani. "Anipha karibu sana nyumbani, tutakuwa tunaishi wote hapa" "Asante sana dada" "Me Naitwa Mainda, niite tu hivyo sawa anipha" "sawa
0 Comments