
ANIPHA ???????? Sehemu ya 5. Nilifika nyumbani nikiwa nimechoka sana, nikaingia moja kwa moja chumbani kwangu nikachukua maji nikaingia bafuni kuoga aisee kama nilifungulia machozi Baada tu ya kujimwagia maji, nililia sana ????????????????mpka nikahisi kizimia kabisa, hivi ningekuwa tajiri kweli mama Allen angeniambia maneno makali kiasi hicho au kwa sababu Sisi kwetu masikini na tunaishi bunju, lakini Hakuna mtu anapenda kuwa masikini jamani ????????????????nililia sana baada ya hapo nikaoga nikarudi chumbani kwangu kulala. Nilikuja kuamka baada ya kusikia kelele za baba aliyekuwa akiniita nje, nikatoka nje nakuta ni giza kabisa, kumbe nililala muda mrefu jamani. "abee baba" "kulikoni leo mbona
0 Comments