ANIPHA BIKRA YA MCHONGO 3--4???????? Sehemu ya 3

ANIPHA BIKRA YA MCHONGO 3--4???????? Sehemu ya 3

ANIPHA BIKRA YA MCHONGO 3--4???????? Sehemu ya 3 Bwana wee ile nafika tu nyumbani baba nae huyu hapa akaanza kuni piga ngumi jamani hata sjui Kosa mm anipha wa watu. "We mshenzi wewe ushakuwa bondia si Ndio eeh" "baba nimefanya nini jamani" "hujui eeh na kuuliza ww mbuzi hujui, aya nani kakwambia upigane na watu huko mjini" "baba jamani nisamehe lakini yeye Ndio mkorofi baba jamani" "shenzi ww marufuku kupigana tena mwehu wewe" "sawa baba" Nkaingia chumbani nikiwa na hasira sana na maumivu ya kipigo juu, nikaapa lazima nimpige tena Agnes, yani mimi nimepigwa kwa ajili yake lazima tu na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments