
MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06 ___________________________________ SEHEMU YA 06 Mulky akiwa amezubaa wenzake wakiendelea kuongea na hakuwa anasikia chochote maana akili yake ilikuwa inawaza mbali sana. Hamida aligundua hilo alimuita " Mulky, mulky..... Mulky hakusikia mpaka yule muhudumu aliekuwa akimhudumia aliposhika begani na kumwambia. " Mulky unaitwa na Hamida. Mulky alimuangalia Hamida. " Vipi upo sawa kweli? " Ndio nipo sawa ulikuwa unasemaje? " Basi tutaongea badae. Wakiendelea kupatiwa huduma walipomaliza waliondoka pamoja mulky aliwapa lifti wakaanza kumpeleka mwajuma nyumbani kwake. Kwenye gari walibaki wawili Hamida na mulky. Hamida alimuangalia akahisi kuna jambo haliko sawa kwa Mulky na hataki
0 Comments