BRAINY BELLE???????????? 01

BRAINY BELLE???????????? 01

BRAINY BELLE???????????? 01 Inawezekana Mama yangu alivyokuwa mjamzito alimpenda sana Baba yangu kupita kiasi????????. Nasema hivi kwa sababu nimefanana na baba hadi namna ya kutembea☹????????. Kama tungekuwa tunalingana I think Walimwengu wangetuita mapacha????????. Kuitwa brother nikiwa nimevaa nguo za kiume???????? ilikuwa ni kugusa????. Pamoja na Mama kunitengeneza hivi na vile lakini bado nilionekana kama Mwanaume????????☹ "Huoni kama kavaa hereni masikioni????, unawezaje kusema atamuoa Binti yako huko mbeleni????????, hakika umenikosea????" Mara nyingi Mama alivutana na Wanawake wenzake tunapokuwa kwenye shughuli???????? Niliamini pindi nitakapo balehe muonekano wangu utabadilika????????☹. Lakini hata baada ya kuanza kuvaa pedi sikutanuka nyonga kama mabinti wengine????????. Matiti yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments