CHUMBA CHA MAHABA NAMBA 6 (GUEST HOUSE) ❤❤ 04

CHUMBA CHA MAHABA NAMBA 6 (GUEST HOUSE) ❤❤ 04

CHUMBA CHA MAHABA NAMBA 6 (GUEST HOUSE) ❤❤ 04 WhatsApp no 0613083801 Baadae alitoa kiasi cha pesa na nilipohesabu ilikuwa ni laki moja. "Hicho ni kianzio tu usiku nitakuja kukupatia kiasi kingine cha pesa" Mr D aliongea na baadae niliamua kuondoka huku nikiwa siamini kama amenipatia laki moja kwa ajili ya kuhitaji kutumia chumba namba 6 tena chumba chenyewe kikiwa ni cha kawaida. Niliendelea kutembea ili kufahamu ukubwa wa jiji na baada ya kuchoka kutembea nilirudi guest. Mida ya usiku ilifika na ilikuwa ni zamu yangu kukaa sehemu ya mapokezi, siku hiyo kila mteja aliyekuwa akihitaji nimpatie chumba namba 6

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments