Dangerous love ❤❤❤❤ 02

Dangerous love ❤❤❤❤  02

Dangerous love ❤❤❤❤ 02 Endeleaa Mama Alimuangalia Hassan Kisha akamwambia " Sasa unataka tuache pesa nyingi hivii kisa mke hunaa!!?" Hassan Alimuangalia mama yakee alionekana machozi kutaka kumtoka akasema " Kwahiyo unataka kuniambia mama nioe Tena wakati unajua kifo Cha mke wangu hamna hata miezi 6!?!!" " Najua Ila Hassan kijana wangu fanya nilivyokwambia sio kwa mda tu we fanya ili tupate saini mbili wewe na mkeo basii" mama aliendelea kumsisitiza Hassan swala la kuoa tena lilikuwa gumu kwake maana alimpenda saana mke wake na mama anajua Hilo Hassan hakumjibu mama yakee zaidi alipanda gari na kuondoka zakee Msimamizi bado

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments