FANYA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA GARI.

FANYA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA GARI.

FANYA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA GARI. NA MFILINGE Unapoenda kununua gari iwe ni kutoka showroom au kwa mtu binafsi, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata thamani ya pesa zako na kuepuka matatizo ya baadaye. 1. Historia ya Gari (Kwa Gari Liliotumika) Ajali: Je, gari limewahi kupata ajali? Hakikisha hali ya chassis na fremu. Umiliki: Je, ni mmiliki wa ngapi waliopita? Umiliki mmoja ni bora zaidi. Matumizi: Lilitumika kama gari binafsi, taxi, au biashara? Odometer: Hakikisha kilomita zilizosomeka ni halisi, siyo “rolled back”. - 2. Ukaguzi wa Kiufundi Engine: Angalia moshi usio wa kawaida, sauti isiyo ya kawaida, na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments