PART 6: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 6: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 6: MTI UNAOMWAGIKA DAMU Mwandamo hakujali jasho, hakujali damu inayotoa harufu. Alizidi kuchimba na kijiti chake. Alichimba sana na hata akakuta fuvu. Akaendelea kuchimba .. Ndio ni fuvu kweli la binadamu, lilikuwa chafu, halina nyama, wala macho. Mwandamo alianza kuogopa Sasa. Aliruka toka eneo lile la fuvu. Akaanza kupiga kelele. "Fuvuuuuu" jamani kuna fuvuuu" heeee" Punde wanakijiji walijaa wakiwa na majembe na kuanza kuchimba zaidi. Halikuwa fuvu pekee, bali ni mafuvu ya watu wengi. Watoto, wanawake,wanaume na bila shaka hata wazee. Walibaini hayo kwakuona nguo zao kwani mafuvu mengine yalikuwa bado na nguo zao. Mganga wa kijiji alichukua usinga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments