___________UNIQUE FLOWER ____________ ????Utambue kwamba, moyo wangu

___________UNIQUE FLOWER ____________        ????Utambue kwamba, moyo wangu

___________UNIQUE FLOWER ____________ ????Utambue kwamba, moyo wangu hauna mtu unaempenda zaidi ya wewe kipenzi. ????Hisia zangu zimeridhika kwa mahaba unayonipa mpenzi. ????usije kuniachha mpweke sweety kwani nitadhalikika nitapagawa kama chizi.???? Wewe ni wangu juu ya maisha yangu lengine Sina chaguzi. ???? ???? Daktari wa mahaba sweety wa malove-love????. Umenijaza mahaba nalewa na kopa za love. ????Juu yako nishadata let me to behave,???? Nakupenda sana mahabuba my save. I love you mwaaaaaaa mwaaaa mwaaaaa....!!!???? __________ SMART NJOINE,______________

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments