
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 1. Tukiwa bwenini shuleni nilikuwa najiandaa niende darasani kujisomea na wenzangu Alikuja Chris na kuingia moja kwa moja bwenini kwetu kwa wasichana Nilibaki nikishangaa kwani huyu kapitia wapi jamani Tena kaingia hadi huku ndani Nikaanza kumgombeza wewe umefuata nini huku au unataka nikusemee Chris alinijibu nimekufua wewe Irene kunajambo nataka nikuambie maana kila nikitafuta muda nakosa Nikamuuliza hilo jambo nijambo gani unalo kosa muda wakunieleza Chris Alimjibu kuwa Irene nakupenda sana hasa nikikuona huwa nakosa hadi kujiamini ila leo nimeona nijipe ujasili na niongee mbele yako Nikamwambia kuwa hivi unanini wewe haya ondoka haraka
0 Comments