WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8

WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8 Sasa humo ndani pakawa mtafutano ,, Celena akimpiga Stefano, Stefano nae hakubali anamrudishia halafu anakimbia , wakakimbizana mpaka jikoni ,Stefano akapanda juu ya meza ya vyombo kwa bahat mbaya akateleza na vyombo vikaanguka na grass moja ya udongo ikapasuka , Celena akakimbilia kwa mama yake Stefano , " Mamaa Stefano kavunja grass ," Celena aliongea kwa kudeka , mpaka mama Stefano akawa anamshangaa ,na alikuwa anajiuliza huyu mbona sio Celina ,? Maana kinachowatofautisha Celina na Celena ni tabia , Celina hapendi michezo ye ni mtu wa vitendo ,alimaliza kula atatoa vyombo afagie na akavioshe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments