TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03

TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 03

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03 **** Dada wa kazi (housegirl) Mwaneke alianza kufua furushi kubwa la nguo alilotolewa nje, likijumuisha nguo za wanafamilia wote, mama, baba na watoto wao wawili, kuanzia nguo za nje mpaka nguo za ndani, kazi aliyopewa na mama mwenye nyumba hiyo, mwanadada Yunusi ambae hajui kazi yoyote ya ndani zaidi ya kujipodoa na kula na kulala na hata mapishi huwa hagusi kabisa jikoni, akatoka akisimama mlangoni kumtazama dada wa kazi (housegirl) huyo anavyohangaika na nguo "Eeh hapa kazi tu hakuna kulala, hakuna hela inayotoka burebure, umeomba kazi, fanya kazi" alimwambia "Sawa dada" Mwaneke aliitikia huku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments