
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ???? NO: 03 Nilienda bwenini kwetu nilijilaza kidogo baada ya muda alikuja Chris na kuniambia Irene sitochoka kuku fuata ila jua nimekupenda sana Nikamjibu ondoka nitakupia kelele kuwa umeingia bweni la wanawake Akajibu kuwa sawa naondoka ila tambua mimi nakupenda sana naomba utambue unanitesa sijawahi kuhisi hivi ninavyo jihisi tagu nawajua wasichana nikweli Nikamjibu hebu ondoka hapa unajua nini kuhusu kupenda wewe Huna hata moyo wa huruma umewaumiza watoto wawatu Unavyodhani mimi sikujui nakujua sana Chris mimi sio hao wasichana mimi nimwengine Nimekuja kusomatuu sijafuata mengineyo niache basi istoshe laiti ungejua hii nafasi ya kuwa
0 Comments