?SHANGAZI KIDOGO TU ?EPISODE 1

?SHANGAZI  KIDOGO TU ?EPISODE 1

?SHANGAZI KIDOGO TU ?EPISODE 1 ? ?Sikuwahi kufikiria kwamba maisha ya mjini yangenibadilisha namna hii. Nilipofika kwa shangazi Rehema, nikiwa na tumaini la kutafuta kazi na kuanza maisha mapya, sikujua kwamba ningekutana na mtihani mzito wa moyo na mwili. ? ?Shangazi yangu si wa kawaida. Kila mwanaume angemuangalia mara mbili, hata mara tatu. Mwanamke mwenye umbo lililoumbwa kwa makini na Mungu mwenyewe. Huyo ndiye shangazi yangu Rehema. Miaka ya arobaini lakini angeweza kushindana na wasichana wa miaka ishirini. ? ?Nilkuwa naambiwa shangazi yangu ana mambo ya ajabu lakini nilikuwa siamini mpka nilipofika kwake mmmmmh jamani hata ungekuwa wewee usingetoka kwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments