MIMBA YA BESTMAN 05

MIMBA YA BESTMAN 05

MIMBA YA BESTMAN 05 Mulky alikuwa anaumia sana na hakuweza kumueleza yoyote kile anachokiita ndani ya ndoa yake. Kuanzia hapo Yasini aliamua kutumia ukali kama siraha alitaka kumfanya mulky amuogope ili aache kumsumbua kudai haki yake ya ndoa. Njia yake ilifanikiwa mulky hakuwa alimuongelesha tena kuhusu swala la unyumba aliamua kuishi kama pambo ndani ya nyumba na kuonekana mke mwenye furaha ndani ya ndoa yake mpaka ikafikia baadhi ya ndugu na marafiki kumuonea wivu na kumsifia kuwa kapata mume bora ambae anamjali na kumpatia kila anachotaka , Mulky alitamani kusema kitu lakini alipokumbuka kauli ya Yasini ya kuwa endapo atasikia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments