
YALIYOMKUTA MUUZA UJI 1--2❤🔞 01 Kwa jina naitwa Salome karibu katika mkasa huu wa muuza uji ili upate kujua changamoto nilizokutana nazo kwenye kazi yangu hasa ya kusumbuliwa na wanaume wakihitaji nitoke nao kimapenzi. NB: Story hii ni kwa wakubwa tu wenye miaka kuanzia 18 na kuendelea kwa wale waliochini ya miaka 18 🔞🔞 mtupishe kidogo. Siku hiyo niliamka asubuhi huku nikiwa na uchovu kutokana na mizunguko niliyokuwa nayo siku iliyopita. Nilitazama vyombo vyangu vilivyokuwa vichafu na kuamua kuanza na kazi ya uoshaji wa vyombo asubuhi hiyo. Baada ya kumaliza nilikuwa na kazi ya kuanza kukologa uji pamoja na kupika
0 Comments