MJEDA NA BIKRA YANGU. Ep 10

MJEDA NA BIKRA YANGU. Ep 10

MJEDA NA BIKRA YANGU. MTUNZI: BABY SMILE 😊. EP 10. Nimekuelewa Rameck, basi nilikubwatiwa na mtumbo wangu kama mtungi,nikalala nimeamka jioni, nikakuta msosi tayari, tukiwa tunakula, simu ya Rameck iliita, ni mjomba wake ndie alipiga, waliongea nikapewa mimi nithibutishe kwa mzee ili apokee mahari yangu... Nilisita ila Rameck alipiga magoti kunisihi, tena kwa machozi, nilijikuta nimekubali bila kufikiria,na simu ikakatwa, Rameck alinikumbatia kwa furaha, "Re nakuahidi mke wangu, hutojuta, nakupenda sana Re, najua bado unawasiwasi na mimi, naomba unipe muda wakunielewa... Rameck alinisogelea, akaomba angalau kidogo nimpimie juice amix, nilikubali yaishe aliomba kidogo lakini aliludia yale yale ya kwenye gari,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments