
MJEDA NA BIKRA YANGU. MTUNZI:BABY SMILE ????. EP 9. Nilimsogelea kisha nikamwambia, Rameck mbona unanichanganya, naomba utulie kwanza, tupumzike basi,mimi nasikia usingizi tukiamka tutaongea, usiku kucha tulikuwa safari, hata hatujapumzika unanipa mambo mazito mazito,Rameck ukweli nashindwa kuelewa.. "Re nachotaka unielewe tu mke wangu, nakupenda, nisamee sana, kwa sababu ya hasira zangu mke wangu nilifanya kitu cha kijinga sana, naomba usiendelee kuniazibh mama nimekoma mke wangu ????,naomba nioe nafasi moja tu nikuoneshe upendo wangu, natamani unielewe mke wangu, kama ningekuwa mhalibifu kwako, nisingeludi kukutafuta, ningekuacha mwenyewe... Niliona hapa hatufiki mwisho, nilikuwa nimechoka sana, niliamua kumtuliza kwa kumkumbatia bila kuongea chochote, kidogo
0 Comments