MJEDA NA BIKRA YANGU. EP 8

MJEDA NA BIKRA YANGU.              EP 8

MJEDA NA BIKRA YANGU. MTUNZI: BABY SMILE 😊. EP 8. Hamwezi amini,alikuwa na Rameck, alikuwa hacheki na wowote ni kanikazia mpaka nikaogopa,niliamua kunyamaza tu nisije tupiwa nje,nikapotea na mwanangu kusiko julikana, Baba angu asije akapata hata mwili wangu,nilijikuta napitiwa usingizi, nakuja kuamshwa tumefika sehemu nisiyoijua,nilishushwa kimya kimya... Nikapakiwa kwenye gari, moja kwa moja kwenye ofce za ndoa za serikali, nilishtuka nikataka kuongea ila sauti haitoki, Rameck akaongea tukiwa nje, ili tuingie ndani,Re sina masihala na moyo wangu nahitaji saini yako na pete, sihitaji maswali, pendekezo wala duku duku kwa sasa, maumivu niliyonayo ni zaidi ya maumivu ya kidonda, nikama mtu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments