
MJEDA NA BIKRA YANGU *_____________________________ *SEHEMU YA 15 na 16 Nilikaa Baba aliongea nafikiri kila mtu nimeongea nae, na wote, mmekubali kila mmoja anampenda mwenzie, Rameck alishtuka akanitizama, akaona haitoshi akaamua kuuliza, Baba samahi, naomba tu kusikia mwenyewe kutoka kwa Re, kwasababu hajawai kuniambia ata kwa bahati mbaya, kama ananipenda mimi hajawahi... Niliona aibu yani niseme hivyo mbele ya baba kweli mmmh, nilishika simu nikaona bola nimtumie sms, Rameck mme wangu jamani, ndio mbele ya baba kweli jamani, naomba basi nikakwambie chumbani au popote ata mbele za watu nitasema, ila namuonea aibu baba, kuludia ludia hilo neno mbele yake lakini
0 Comments