
MJEDA NA BIKRA YANGU *_____________________________ *SEHEMU YA 17 na 18 nimekuelewa mme wangu,lakini vipi kuhusu kazi natamani kujitafutia, Re kuhusu kazi hapana,kwa sasa naomba ufungue ofc yako lakini sio kuajiliwa, tafuta location, andaa bajeti,nipambane nikupe mke wangu, nyie mambo yalianza kunoga mwenzenu , nilifulahi mwenyewe nikalala na amani kabisa,kulikucha nikawa nimechangamka nikapewa cha asubuhi cha kushitukiza sikuleta ubishi nikatoa ushilikiano wote mpaka baby nuru ikalejea kwa kasi ya 5g ????... Baba alipata amaninkutuona hivyo, upande wa mamdogo, alikubali kuja ila aliomba aje na binti yake, nilimuomba mme wangu, akakubali, tuliwatumia nauli wakaja,baba aliniomba mtu yeyote nisimluhusu akaingia chumbani kwangu... Zaidi
0 Comments