
--------------- #MY PEAK_PRETTY ----------------
🌼Mazoea yatafanya unione wakawaida, ndio maana mara nyingi naogopa sana kuonekana wakisasa. Najua itafika muda utajibu unavyojidkia ,utaniona kama niliopotea njia🌼, ila utambue kwamba upendo wangu kwako utabaki palepale my dear.🌼
🌹Kuna muda nkumiss sana ila ndo nitafanyaje mpenzi umbali umetukaba.🌹 Changamoto na vipindi unavyopitia kipenzi roho yangu tu pekee inanisuta🌹. Sipendi kukuacha mpweke ila ndo nitafanyaje maisha yetu mungu ameweka tuta. 🌹Ila juu ya yote nakupenda na naitaji ukaribu wako mpenzii kuishi hivi Mimi nishachoka🌹
❤️❤️❤️ I LOVE YOU ❤️❤️❤️
Soma zaidi
0 Comments