PART 10:(FINAL) : MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 10:(FINAL) : MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 10:(FINAL) : MTI UNAOMWAGIKA DAMU Mganga aliongeza "Mizimu imekubali maombi yetu, ardhi imepona" Kuanzia siku hiyo mabadiliko makubwa yalionekana hapo kijijini. Maisha yalilejea kama zamani. Watoto waliiacha kuumwa Kila mara Watu waliacha kusikia sauti zile za kuogofya usiku. Ule mti ulikaa mahara pake. Watu watu hawakusahau tukio lile kamwe. Kila mwaka waliadhimisha siku hiyo kwa Sherehe zilizoambatana na shughuri za kusafisha sehemu za mti ule pamoja na kupanda maua. Hadithi ile ya kweli ilibaki kuwa urithi wa vizazi vyao. Siku zilienda sana hata Mwandamo, mtoto jasiri wa kiume amekua. Mwandamo akawa mtu mwenye hekima na busara zaidi pale kijijini.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments