PART 9: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 9: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 9: MTI UNAOMWAGIKA DAMU "Ilikuwa upofu, historia yetu ilifichwa, Leo tumeikunjua moyo wetu na bila shaka mizimu italala kwa amani" Alisema mwenyekiti wa kijiji Yule bibi kikongwe alisogea mbele taratibu huku akiwa ameshika njiwa weupe wawili. Alipofika akauzunguka ule mti mara kadhaa kisha akawaachia wale njia nao wakaruka juu wakapotea huko. "Nanyi roho zetu zipeperuke kwa amani" Alisema bibi kikongwe huyo. Taratibu damu ikaanza kukata. Ule mti ukanyooka kama ilivyokuwa awali. Magome ya huo mti ukawabadirika na kuwa nyeusi. Amani ikaanza kunawiri. Watu walipiga makofi na wengine wakapiga magoti. Wangine walilia kwa furaha. Anga likaanza kung'aa Mwandamo naye akasogea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments