‎PENZI LA SINGLE MAMA ‎SEHEMU YA 5

‎PENZI LA SINGLE MAMA  ‎SEHEMU YA 5

‎PENZI LA SINGLE MAMA ‎SEHEMU YA 5 ‎Tunaendelea pale pale tulipoishia baada ya Maria kujiuliza sana maswali kuhusu mwanaume anayemsaidia mtoto wake ambaye kichwani mwa mwanaye anafahamika kama mjomba . ‎ ‎Alijiuliza sana Maria kuhusu huyo mwanaume mwenye huruma,mwenye kujali mtoto wake na mwenye kumjali yeye ingawa hata hamfahamu. Alijisemea ‎" MUNGU akuzishie baraka na akupe maisha marefu ,maana katika dunia hii ni ngumu mtu kumjali mtu asiyemfahamu. Natumai siku moja nitakuona kaka" ‎ ‎Basi asijuwe kuwa mimi ndo ninayemsaidia mwanaye na hata dawa vyote nimefanya mimi. Huku hata akili yangu inawaza nitaona na maria lini na nilijiuliza kwa nini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments