
MY HEART 03--04 Mimi siyo muongeaji sana ili siku ya leo ilinilazimu kubandika na kubandua stori ili tu kumfurahisha "Ni kiasi gani cha pesa unataka...." Mwanaume huyu aliuliza "Milioni sita...." Niliongea nikiwa najua Mwanaume huyu hawezi kutimiza "Nilitegemea ungesema milioni 100... unaonekana hujazoea kuomba pesa au Wanaume unaokutana nao si wazuri katika swala zima la kuhonga..." Mwanaume huyu aliongea huku akicheka Kwa kuwa sikuwa na akaunti ya benki ilinilazimu kuwasha simu yangu ili niwe na uhakika kama pesa imeingia kweli kwenye simu yangu baada ya kumtajia namba. Nilisikia mapigo ya moyo wangu yakiporomoka baada ya kukutana na ujumbe wenye idadi
0 Comments