PENZI LA SINGLE MAMA SEHEMU YA PILI

PENZI LA SINGLE MAMA  SEHEMU YA PILI

PENZI LA SINGLE MAMA SEHEMU YA PILI ‎TULIPOISHIA .... ‎Aliniomba nimtishwe nami sikuwa na hiyana ile namuwekea kichwani alipepesuka kidogo nikajua anataka kuanguka nikamshika kiuno sura zetu zimesogeleana karibu tunatazamani hafu maji kidogo yakanimwagikia usoni ‎Tulibaki tumeganda kama sanamu ‎ ‎Mkono wangu kiunoni kwake macho yetu yanatazamana ‎************ ‎Endelea na sehemu ya pili ...... ‎ ‎Tulibaki tukiangaliana, mapigo ya moyo yakiwa yanakwenda mbio. Ilikuwa kama muda umesimama, upepo , sauti za ndege zilikiwa zinasikika , yaani kam.a wanatushuhudia Mikono yangu bado ilikuwa kiunoni kwake, maji yakinimwagika usoni na nguo zangu na hata zake zilikuwa zinalowa tu kwa matone madogo dogo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments