
----------------------- #NOW_WHY -------------
????Japo sikukamilika ila hukua mvumilivu????, Ulikua ukinikashifu kwa maneno ya kejeli na mabovu, Kila ninapo kutafuta unasema unakazi huitaji usumbufu????, Ukiwa na shida nikikuambia nivumilie kidogo waanza kunikashifu.???? Eti sikujali ,????sikuthamini hukuwaza maisha sio kiumbe mfu.????
????Leo unanicheki ukidai tu unanisalimia,???? wakati awali ulikaa kimya sms ziii kunijibia????.Eti Leo waniposti Siku njema ukinitakia, wakati awali nikikupost ulifoka na kunikemea. Kila mara ugomvi penzi zile nikijikumbukia???? ,Leo eti umenimiss eti umekumbuka tulipo tokea? ????
_____________s.m.a.r.t-n.j.o.i.n.e_____________
Soma zaidi
0 Comments