
???????????????????? RATIFA – Sehemu ya 34 Mwandishi: Maramoja The Great Nilipomaliza tiba ya wiki nzima, nikiwa na Karimu, babu yule mzee alitupa ruhusa ya kurudi nyumbani. Kabla ya kuondoka akanipa nasaha nyingi kuhusu usafi wa mwili na roho. Alisema, "Jitahidi kuwa msafi, oga kila wakati unapohitajika, uwe na utulivu na msimamo kimaisha." Nikamshukuru sana babu. Karimu akaenda kupanga mambo ya malipo, kisha tukapanda gari kuelekea Dar. Kwenye safari, Karimu akaniuliza, "Umemuelewa mzee alichokuambia?" Nikasema, "Ndiyo." Akasema, "Basi zingatia, ni muhimu sana." Tulipofika nyumbani, Karimu aliniacha kwa bibi, ambaye alikaa nami kwa mwezi mzima akinisaidia kupona. Karimu alikuwa akija kila siku
0 Comments