
WE KULA TU BINAMU EPISODE 11 Aya weeee ayaaa weeee zu chuuuuuu chuuu HIyo mideedde hiyo mideni ndo inanifanya nakesha lokesheeni afande niacha ache afande niacheni ilikuwa ni kibao cha zuchu na paten kilikuwa kinapiga usiku niliamka kucheza huku nikijipongeza kwa kazi niliyoifanya kwa binamu yangu na ilikuwa ni miongoni mwa ndoto yangu ya kukitafuna kitumbua chake Basi mwishowe nililala zangu maana hata mimi nilikuwa nimechoka sana lakini siku iliyofuata nilikuwa naendelea kuoiga usingizi nikasikia kwaaaaaah kwaaaaa!!!!! Ikiwa na maana kuna mtu anakwaa na kusafisha sehemu ya nje ya chumba changu .... Yaaani kama ni bibi nimeisha lakini nilipotazama alikuwa
0 Comments