side chick episode 3

side chick episode 3

side chick episode 3 Me==Ok babe..Jana nikiwa job kuna Rafiki yangu Askari ndio aliniomba hiyo jacket yangu avae aende mahali coz kulikua na Baridi😮‍💨..me nikampea juu me nilikua Tu Kwa office yangu so nikaamua kumsaidia..sa maybe yeye ndio alisahau akaweka hiyo suruali Kwa Mfuko . please trust me.. Sandra==Ok toa simu yako upigie huyo Rafiki yako sahi nikiskia🤨.. Me==ok.. Jamaa Nilitoa simu nikitetemeka😂😩😩hapa Sasa ndio nilianza kuomba Mungu kimoyo Moyo aniokoe aki🙏🙏...nilitoa simu nikadeal number za Yule Beshte yangu alikua anaitwa Dan😂..nilipigia Dan kisha wife akatega maskio akiwa anahema Kwa hasira Sana😡... Dan==Hello.. Me==Hello Dan..we Jana umeniletea shida Bana..uliniomba jacket

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments