SIDE CHICK EPisode 2

SIDE CHICK EPisode 2

👩🏾‍🦱𝐒𝐈𝐃𝐄 𝐂𝐇𝐈𝐂𝐊 👩🏽‍🦰 🎬Episode 2 💦 Sandra👩🏾‍🦱: mmmh naona umeamua kunipandisha cheo sindio🙁🙁??umeamua kunifanya Goat wife?? Sam kumbuka Tu mahali tumetoka..🥺🥺kumbuka shida tumepiga na wewe?? tumeishi pamoja zaidi ya miaka Tatu Sasa mbona unanisaliti🥺💔.. huwa nakuja kukutembelea na nakupa kila kitu...mbona unaanza kudoz💦 na wanawake wengine?? Me👮🏾‍♂️: (Nikishtuka)what??mbona unaongea hivo ??me nakupenda na siwezi kusaliti.. Sandra👩🏾‍🦱: (akichukua hiyo Jacket na kutoa p@nt!e kwa Mfuko😳🙆..)what is this?? Me👮🏾‍♂️: (Nikishtuka😳)ooh😁😁hiyo nilikununulia kama surprise Beb..unajuwa nakupenda Sana☺️.. Sandra👩🏾‍🦱: Shut up🙄..me sio Mjinga..ulinunua p@nt!e ishatumika..hii imevaliwa na mtu.. please tell me the truth kabla nifanye kitu mbaya Sahi..kumbuka hapa ni Kwa station na nitapiga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments