SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 41

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 41

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 41 Na Sam Darfur 0717255498 RECAP: SEHEMU ILIYOPITA Akarudi katika mlango na kujifungia, baada ya hapo alifunga kamba sehemu ambayo aliharibu taa na kujinyonga huku akiacha ujumbe ambao aliundika kabla ukisomeka “NAKUPENDA ALVILA ACHA NIENDE KWA MAMA…!” SEHEMU YA 41 Weka Like maana masimulizi ya leo ni ???????????????? Asubuhi ilipopambazuka kama ilivyokuwa kawaida yangu, niliamka ili kwenda kumjulia hali Brandina. Nikiwa na usingizi kwa mbali, nilijiinua kitandani kisha nikaelekea katika dressing table nikajitazama. Nilipoona nipo sawa niliondoka katika chumba changu. Kiukweli uso wangu ulikuwa na furaha mno,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments