PENZI LA SINGLE MAMA SEHEMU YA TATU

PENZI LA SINGLE MAMA  SEHEMU YA TATU

PENZI LA SINGLE MAMA SEHEMU YA TATU ‎TULIPOISHIA... ‎"Ulisemaje?" aliuliza mama yake kisha akatoka nje. ‎HUWEZI AMINI, MWANAMKE YULE NI MARIA NA NDO MAMA WA YULE MTOTO. ‎************" ‎ENDELEA SASA.... ‎" mama nilisema viberiti robo na unga viwili" ‎Maria alicheka sana na kusema " ama kweli mwanangu we bado ni mdogo" ‎Kakanuna" mama mi mbona mkubwa " ‎" haya sawa mwanangu wewe ni mkubwa haya sogea unawe uso ( mama akamuosha mwanae uso kisha akaingia ndani na kuchukua taulo. Kisha akamfuta ) ‎" mwanangu sasa umependeza ". Mara ghafla tumbo likaunguruma wote wakacheka .... ‎ ‎Maria alipomtazama mwanaye, alitabasamu kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments