
UTAMU WA MABOSS?????? 5 Michael alimcheka sana Alex alimwambia Linda ndo mwanamke pekee watakaewezana naye???????? Alex alichukia sana.. "Sijui hata wewe ni rafiki gani ambae hata haujali kama rafiki Yako yuko katika matatizo,badala unipe pole ndo kwanza unanicheka na kumsifia huyo mwanamke ????????" Kwanza umefuata nini ofisini kwangu??Michael alimwambia Alex nimekuja kwa sababu Bi Brown alisema anahitaji kuletewa bidhaa" okay aliitikia Alex.. Alifunga laptop yake mara moja akakumbuka alikuwa na mkutano na miss Kate. "Labda nimfukuze tu Linda, hana faida. ananiletea shida tangu aanze kufanya kazi hapa. Hata ratiba yangu ya leo siijui hawezi hata kunikumbusha vitu muhimu badala yake
0 Comments