
UTAMU WA MABOSS??? 6~7 Linda alipakiwa kwenye gari akaketi pembeni ya Alex aliwaelekeza anakoshukia wakampeleka mpaka huko.. Walimshusha wao wakaondoka zao..wakati Alex na sam wanaendelea na safari yao Alex alimwambia Sam "Yule binti ana wazimu sana" ALEx alisema na kumtazama Sam huku Sam akiwa anamtazama kwenye kioo. "Bwana, unatabasamu," alisema Sam "Unamaanisha nini kuwa natabasamu, Kwan umeniona nikitabasamu ?," Alex aliuliza "Ndio ulikuwa unatabasamu Mr au msaidizi wako kakuvutia" ?? “fatilia mambo yako” Alex alisema kwa ukali na Sam akanyamaza mara moja. Walifika nyumbani na Sam akaegesha gari kati ya magari mengine kwenye gereji. Alex alishuka na kuliona gari jeupe
0 Comments