𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:09

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:09

Mimi nikafumba macho yangu kama vile nimelala, mke wangu alipoona hivyo aliingia bafuni, mimi nikageuka upande mwingine ndani ya moyo wangu nasema “Ooh Mungu wangu, ni nini hiki kimetokea, ni jambo gani hili?, kwanini umeruhusu ndoa kati yangu na Gabriella, ina maana nitateseka maisha yangu yote na ndoa hii nisiyoipenda kabisa. Mbona naona sasa ndiyo simpendi kabisa, sio mwanamke ninayemtaka mimi.” Wakati huo Gabby alitoka bafuni, kisha alichukua simu yake na kwenda kukaa kwa kochi pale chumbani. Alikuwa ana amini mimi nimelala. Sasa anawasiliana na nani usiku wote huo na watu wanajua yeye yupo fungate. Nitafanya nini?, inabidi niendelee kujifanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments