
EP 1. Nyie ulishawai kukutana na dume kauzu afu kubwa, kumbe hata halijawahi kumkula mwanamke Toka lizaliwe, linatuchukulia poa tu wanawake kama vile hatuna maana yoyote ya kuwa duniani, ebu mje mjisomee huyu wangu nilikotoka nae... Naitwa Manka kuoga, yaa napenda kuoga kuliko kula mtaani wakaona waniongezee na kuoga, mchaga mwenye Shep yake adimu, sijui hii Shep nilitoa wapi ila nimebarikiwa haswaa na langi yangu flan hivi, nafundisha kuoga Yani kwangu kuoga ni kitu muhimu mno... Leo nilipitia Kwa lafiki yangu koku mhaya wangu huyu, alinipigia simu Kuna ishu tujadili, nilienda mpaka room kwake, oyaaa koku fungua basi nje, jua
0 Comments