Askari maji wa Roma ya kale "Ancient Rome" miaka 300 BC walikuwa tayari wameshaunda tete zenye mashimo ya kupumulia ndani ya maji

Askari maji wa Roma ya kale "Ancient Rome" miaka 300 BC  walikuwa tayari  wameshaunda tete zenye mashimo ya  kupumulia ndani ya maji

,Na walikuwa ni waogeleaji mahiri sana.Na hii ni kabla ya uwepo wa vifaa vya kisasa vya majini na ma Submarines, Ila hawa tayari walikuwa wana uwezo wa kufanya kazi za kiufundi ndani ya maji Kwa muda mrefu .Hawa kwa upande mwingine tunaweza kuwaita waogeleaji waliosahaulika. Na walikuwa na uwezo wa kwenda chini ya maji hadi meta 30 kama futi 100 ,Na watu kama hawa ndo walitumika hata kurekebisha Meli "Ship"zilizotupa Nanga .Na walijenga hadi Bandari "Port" kubwa za dunia ya kale "Ancient World" kama Bandari "Port" Caesarea ,Hio ni moja ya Bandari "Port" bora za kale. Na namna ujenzi huo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments