*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣0️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA  1️⃣0️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y Follow channel yangu ya youtube kwa simulizi fupi za kusisimua 💗💗 *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Brown na Shalha walimtizama Bieber ambaye alimgeukia Nanah na kutabasamu. Nanah alibaki akimtizama Bieber na kushindwa kumuelewa amepatwa na nini. "Twende" Bieber alimshika mkono Nanah aliyebaki akiwa ame stuck tu. Bob Risky alifika na kuutoa mkono wa Bieber kisha akaondoka na Nanah. Bieber alimtizama Nanah akiwa anaondoka kwa tabasamu mwanana na zito sana tena lililojaa furaha ndani yake. Brown, Shalha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments