𝗜𝗦𝗟𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗭𝗔 𝗠𝗧𝗜𝗡𝗗𝗜 *1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Sitaki kuamini siku ya leo unaenda kula nyama choma kwenye lile soko la usiku.....kuna namna nahisi kama wanachoma nyama ya Mbwa..." Henry aliongea.

"Nyama ni nyama tu kikubwa iwe imeiva acha kutengeneza taharuki masikioni mwangu" Levi aliongea huku akizidisha kutembea. "Tembea taratibu sasa lakini utake usitake Amelia ndio ameshakuwa mke wako. Nitahakikisha hamuachani yaani Mimi hapa nitawapambania kama watoto yatima vile wanaodai haki zao" Henry aliongea. Levi alizidi kusikia hasira kuna namna alitamani kumpiga Henry lakini kwa kuwa ni Mjomba wake alivumilia. "Amelia ni binti mrembo sana nipo radhi nipoteze macho yangu kutetea penzi lenu...." Henry alizidi kuongea, alipoona Levi hamjali aliamua kupaza sauti kabisa. "Watuuuu, Levi ni Mume wa Amelia msikubali atembee na Dada zenu au watoto zenu... Mume wa mtu ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments