
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 * sehemu ya Sita Wakiwa Ofisini Saraah Na Jordan, Saraah Anaamuaa kutoka kwenda kuchukua kahawaa. Akiwa anavuka barabara Gari lililo kuwa speed aina ya cruzer linampitia na kumgongaa Jordan Anashuhudiaa tukio zima kwa mbali. Hali ya Saraah inaonekana kuwaa mbaya sana maana anavuja damu nyingi sana upande wa kichwa chake. Jordan anakimbia na kumuinuaa saraah huku akiwa ameshika kichwa cha Saraah kwa machozi mengi akilia na kutetemeka. Jordan: Saraah Mamaangu Amkaa kipenz Amkaaa Saraa Wangu, Jamn msaadaa. Kwa bahati nzur wafanyaa kazi wanatokaa njee na kupiga simu kwaajir ya kuita Ambulnce. Ambulnce inafika na kumchukua Saraah
0 Comments