*11-mpk 20 *MJEDA NA BIKRA YANGU

*11-mpk 20  *MJEDA NA BIKRA YANGU

​ *_____________________________ *SEHEMU YA 11 Na 12* Lakini Rameck mbona tumeshayamaliza, sasa huku naondokaje hata sijui niko wapi, na tayari umenioa, mbona unataka kunigeuza mfungwa sasa, " Re hata useme nini mke wangu, sitokuluhusu, kama kuna kitu unahitaji niambie nitakuletea lakini sio kutoka nje... Nilikupa nafasi ya kukuamini lakini uliipoteza mrembo wangu, nikweli mimi ni dhaifu kwako sana, lakini siwezi kukubali kukupoteza, Rameck kwa nini lakini, mimi tayari nimekubali siendi popote natakiwa kufanya mazoezi lakini pia ata nipete hewa ya nje... Lakini hakukubali, nilinuna, lakini ata niulizwe kulikoni hamna kana utani ikakatika mwezi mzima na nusu, sijatoka nje apo mimba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments