
jamani nikashangaa maiti moja ya kiume inatikisika nikasema mmm hii ndio maiti inangoja kaka aondoke anikabe nikaangalia nje namuona kaka anaagana na madokta anataka apande kwenye pikipiki aondoke. Nikafungua mlango nikamwita kaka kaka. " bahati mzuri kaka akasikia akanifata araka araka yeye anawaza labla nimeokota cheni. alipofika ndani nikamwambia unaona ile maiti inacheza cheza. Kweli tunamuona kama anaomba msaada. Cha ajabu jamani sijaamini macho yangu kaka yangu amechukua lungu akampiga nalo yule maiti la kichwa. Puuu mara 3. Nikamwambia kaka kwanini umemuua uyu jamaa. " akaniambia mdogo wangu akibainika uyu ni mzima nitakuwa nimemkaanga dokta Sisi kazini tunastiliana kwani unadhani
0 Comments