
"Nimepanga kutoroka siku ya harusi " "Eeeee!?" tulishtuka kwa pamoja akajibu" Ndio sasa mnashangaa nini? wao siwanataka kucheza na maisha yangu sasa acha nicheze na akili zao " Ney alisogea karibu zaidi na kumuuliza kwa sauti ya chini "Wewe Naira huoni kama hiki unachotaka kufanya ni kibaya?" "Nikibaya kwamba wao wanachotaka kufanya nikizuri ? mfyuu embu niache huko " "Hapana mimi sikushauri kwakweli maana utawatia hasara mbali na hasara Dully ataumia sana " "Ney mdogo wangu nimeshaamua kama ni hasara nijuu yao na kuhusu huyo Dully ameyataka mwenyewe kwani nimara ngapi nimemwambia simtaki ila kihele hele chake akaona ajipeleke nyumbani
0 Comments