𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:11

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:11

“Dadie, ni mama, kazini mambo sio mazuri, tangu alfajiri baba anafuatulia na hakuna kitu anaweza kufanya sasa maana amechoka sana. Kuna kampuni tulikuwa tunafanya nayo kazi naona ina leta usumbufu na baba peke yake na meneja sidhani kama wataweza kama unavyojua mimi ndiyo nipo ofisini muda mwingi. Mume wangu, tunaweza kughairi hii safari kwa sasa then tutapanga upya walau sasa nimsaidie baba yangu?, tafadhali baby, please nakuomba.” Nilitamani ajue namna nimefurahi, maana tu siku ya kwanza hii fungate ilikuwa imenichosha na kunipa mawazo sana kichwani. Nilikuwa sijaifurahia kabisa. Unaweza kuniona nina matatizo pengine au labda sina akili nzuri lakini niamini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments